TOC

This article is currently in the process of being translated into Kiswahili (~99% done).

Requirements:

Requirements

Ili kuanza kukitumia PHP, halafu kisha baadae MySQL, unaweza kukiweka kwenye tarakilishi chako binafsi, ili kukitumia kwa urahisi. Mbinu nyingine ni kuilipa webhotel ambao wako na PHP na MySQL kwenye seva yao ila kufanya hivyo kwenye tarakilishi chako ndio njia rahisi, hasa wakati wa kujifunza. Kuiweka PHP sikuhizi imekua rahisi sana kuliko "siku za kitambo", na kutokana na sura zifuatazo, unafaa kuwa ushaiweka na tayari kuendelea ndani ya dakika kama 10-20 hivi.

Mafunzo haya yanachukulia kuwa unatumia tarakilishi lenye Microsoft Windows. Kama hivyo sivyo ilivyo, utaweza tu kutumia makala yote ya code kwa maana sio za mfumo wa uendeshaji mahususi lakini sura zifuatazo, kuhusu uekaji wa PHP kwenye tarakilishi yako, ni ya Windows pekee. Endelea kusoma tunapoipitia mbinu hiyo.

Kama unatazamia kupata mbadala wa PHP, ijaribu ASP.NET MVC. Syntax wake wa wembe ni kama ule wa PHP, ila inapotoa C#. Jaribu kuangalia Razor syntax cheat sheet.


This article has been fully translated into the following languages: Is your preferred language not on the list? Click here to help us translate this article into your language!